Baada ya jana June 5 2017 kuchezwa michezo ya ufunguzi wa michuano ya
SportPesa Super Cup 2017 na kushuhudia
AFC Leopards ya
Kenya na
Yanga ya
Tanzania zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya
SportPesa Super Cup.

Leo June 6 2017 michezo ya robo fainali miwili ilichezwa katika uwanja wa
Uhuru Dar es Salaam, mchezo wa kwanza ulikuwa
Gor Mahia dhidi ya
Jang’ombe Boys ya
Kenya wakati mchezo wa pili ulikuwa wa
Simba dhidi ya
Nakuru All Stars ya
Kenya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.